PROGRAMU KUMI BORA ZA KUDOWNLOAD MOVIES NA SERIES KWENYE SIMU - MotechBoy

MUBASHARA

Tuesday, August 27, 2019

PROGRAMU KUMI BORA ZA KUDOWNLOAD MOVIES NA SERIES KWENYE SIMU

Tokeo la picha la apps for downloading movies


Kwa wale wanaopenda kuangalia movies na series kwenye simu zao za mkononi,leo nimewaletea programu kumi zenye ubora mkubwa kwaajili ya kupakua movies au kudownload movies zenye kiwango cha HD (high definition).

ZIFUATAZO NI PROGRAMU KUMI BORA ZA KUDOWNLOAD MOVIES & SERIES


  1. CINEMA APK
Hii ni kati ya application bora ambayo inakuruhusu kutazama na kudownload movies mbalimbali pamoja na series zote kwa kiwango cha HD na uzuri wa hii programu inakufanya kupakua movies katika format mbalimbali kama 360p.480p,720p na 1080p Full hd ni wewe tu.

      2.TITANIUM TV
Hii nayo ni application nzuri ambayo movie na series zinapatikana kwa kiwango cha HD na FULL HD na inakuwezesha kupakua na kuangalia movie na series bure kabisa pasipo malipo na uzuri wa hii programu inakuwezesha kuhifadhi movies na series zako pendwa kwenye "save list"

      3.CYBER FLIX TV
Application hii inakupa uwezo wa kudownload pamoja na kuangalia movies na series bure kabisa katika kiwango cha HD na FULL HD.

      4.CAT MOUSE APK
Catmouse ni application nzuri ambayo ina movies na series zote zinapatikana kwa kiwango cha HD na FULL HD na inakuwezesha kupakua na kuangalia movie na series bure kabisa pasipo malipo na uzuri wa hii programu inakuwezesha kuhifadhi movies na series zako pendwa kwenye "save list"

        5.UNLOCK MY TV
Uzuri wa hii Programu kwanza Ina muonekano mzuri na unaweza kutaza movies zote mpya pasipo shaka na unaweza kudownload movies na series katika kiwango cha HD na FULL HD

        6.KODI
Programu hii ni nzuri yenye kiwango ambayo inakupa uwezo wa kudownload pamoja na kuangalia   movies na series katika kiwango cha HD na FULL HD

        7.TEA TV
 Have nayo Haina tofauti na programu zingine ni nzuri yenye kiwango ambayo inakupa uwezo wa kudownload pamoja na kuangalia   movies na series katika kiwango cha HD na FULL HD

       8.MORPH TV
Moja kati ya programu nzuri yenye mkusanyiko was movies na series Bomba kabisa na kiwango ambayo inakupa uwezo wa kudownload pamoja na kuangalia   movies na series katika kiwango cha HD na FULL HD

       9.ONE BOX HD
Application hii inakupa uwezo wa kudownload pamoja na kuangalia movies na series bure kabisa katika kiwango cha HD na FULL HD na utakuta streaming link nyingi ni wewe tu kuchagua ipi inakufaa.

       10.TV ZION
Application hii inakupa uwezo wa kudownload pamoja na kuangalia movies na series bure kabisa katika kiwango cha HD na FULL HD.

3 comments:

  1. If you want to know about coffee machines,here is the blog you get detailed information on
    coffee machines make sure you can check it out and keep on visiting and please share our blog.

    ReplyDelete

Pages