Je ulishawahi jiuliza tofauti kati ya rom & ram na ukakosa jibu,basi hapa utapata kujua maana ndiyo sehemu sahihi.
- RAM(random access memory)
- Kutumza kumbukumbu kwa muda mchache(temporary storage)
- Hufanya kazi kompyuta inapokuwa imewashwa
- ROM
- Kutunza kumbukumbu kwa muda mrefu(permanent storage)
- Hufanya kazi kompyuta ikiwa imewashwa au imezimwa
This comment has been removed by a blog administrator.
ReplyDeleteUko vizuri bro
ReplyDeleteThis comment has been removed by a blog administrator.
ReplyDeleteTuko pamoja
ReplyDelete