JINSI YA KUDOWNLOAD APPLICATION KUPITIA GOOGLE - MotechBoy

MUBASHARA

Tuesday, August 27, 2019

JINSI YA KUDOWNLOAD APPLICATION KUPITIA GOOGLE

Tokeo la picha la google hd photos download

Leo nataka kuwaonesha namna gani unaweza kupakua application google.kama tunavyojua si kila application inapatikana play store zipo ambazo kwenye play store hazipo lakini zipo kwenye website ya google pamoja na website zingine binafsi mfano halisi ni website yangu mwenyewe ya MotechBoy ambayo app yangu inapatika kwenye website yangu  na si play store.Hizi app ambazo hazipatikani google play store huwa zinakuwa katika mfumo wa APK (Android Package Kit).Ukitaka kuinstall programu ambazo hazipo google play store hakikisha unafuata hatua hizi hapa
  • Hakikisha simu yako imeruhusiwa kupakua programu kutoka sehemu nyingine tofauti na google play store.kama hujui jinsi ya kuwezesha simu yako kupakua programu nje ya play store fuata hatua hizi 
  1. Nenda kwenye sehemu iliyoandikwa "settings" katika simu yako 
Tokeo la picha la setting  in phone

       2.Nenda sehemu iliyoandikwa "security".Shuka chini mpaka sehemu iliyoandikwa "unknown source".Weka "kitiki" au weka "on"

unknown sources TVZION APK


       3.Baada ya kufanya hivi unaweza kwenda kudownload app yako na kuinstall kumbuka usipofanya hivi hutoruhusiwa kupdownload chochote nje ya googgle play store.

       4.kisha install app yako uliyo ipakua nje ya google play store.
Install TVZION APK on Android

Asante kwa kusoma makala hii.

1 comment:

  1. thank you,
    very helpful and provide insight,
    please help and encourage him to be the best in the marketing world, supporting each other.
    Support for my business,
    can join the online casino

    Betclub168

    Judi Slot Deposit Murah

    Sabung Ayam Sbobet

    ReplyDelete

Pages