JINSI YA KUDOWNLOAD MOVIES NA SERIES KWENYE SIMU YAKO - MotechBoy

MUBASHARA

Saturday, June 30, 2018

JINSI YA KUDOWNLOAD MOVIES NA SERIES KWENYE SIMU YAKO


 Image result for download movies on your phone


 Leo katika makala yangu naenda kuzungumzia namna ama njia rahisi kabisa ya kutizama na kudownload movies na series katika simu yako ya kiganjani.Kama tunavyojua watu wengi hupenda kuangalia movie pamoja na vipindi pendwa vya tv(series) kwenye mabanda ya video au sinema nakujikuta wanatozwa hela kubwa ama kuzunguka huku na kule kutafuta movies na series mpya zilozotoka pasipo mafanikio,sasa utaweza kuenjoy kwa kuangalia na kudownload movie na series zote mpya katika simu yako ya mkononi

Zifuatazo ni app kuu mbili ambazo unaweza kuwatch na kudownload movie pasipo shaka  

 1.TERRARIUM TV: Hii ni app ambayo itakuwezesha kupakua ama kudownload movies pamoja na series katika simu yako.Uzuri wa hii app unaweza kudownload katika format zote HD na FULL HD au katika format ya 360p au 480p ni wewe tuu.KUDOWNLOAD hii app bofya hapa


2.SHOWBOX:  Hii nayo haina tofauti sana na terrarium tv,hapa unaweza kuangalia na kudownload movies yako pendwa bure kabisa KUDOWNLOAD hii app bofya hapa


somo letu la leo litaishia hapa mpaka wakati mwingine

                                                         

16 comments:

  1. iko poa sana bro

    ReplyDelete
  2. Hi to everybody, here everyone is sharing such knowledge, so it’s fastidious to see this site, and I used to visit this blog daily
    showbox for android

    ReplyDelete
  3. Personally I think overjoyed I discovered the blogs.
    Admiring the time and effort you put into your blog and detailed information you offer!..


    freemobdroapkdownload.com

    ReplyDelete
  4. Hi to everybody, here everyone is sharing such knowledge half angle formula

    ReplyDelete
  5. Thanks for the informative and helpful post, obviously in your blog everything is good..


    rice purity score meaning

    ReplyDelete
  6. I would recommend my profile is important to me, I invite you to discuss this topic…supersuapkpro.com

    ReplyDelete
  7. Your blog provided us with valuable information to work with. free showbox download apk

    ReplyDelete
  8. I am really enjoying reading your well written articles. It looks like you spend a lot of effort and time on your blog. I have bookmarked it and I am looking forward to reading new articles. Keep up the good work.


    checkiqamaonline.com/iqama

    ReplyDelete

Pages