JINSI YA KUBADILISHA JINA LA CHANELI YAKO YA YOUTUBE - MotechBoy

MUBASHARA

Thursday, July 5, 2018

JINSI YA KUBADILISHA JINA LA CHANELI YAKO YA YOUTUBE

                                        


Karibu ndungu msomaji wa blog yangu ya MOTECHBOY leo naenda kuwaonyesha njia rahisi kabisa ya kubadilisha jina lako katika youtube chaneli yako,ni vyepesi sana ungana nami

.KWANZA: Ingia(sign in) kwenye youtube chaneli yako

PILI: Bonyeza kitufe cha chaneli yako (icon) alafu nenda moja kwa moja mpaka kwenye mpangilio(setting) baada ya setting >nenda kwenye sehemu iliyoandikwa "EDIT ON GOOGLE"  mbele ya jina la chaneli yako ya youtube

TATU: Badili jina lako na boyeza OK au SAVE



No comments:

Post a Comment

Pages