MOTECHBOY hii ni tovuti mahususi kwa mambo yanayohusu Teknolojia ndani ya blog utafahamu mambo mbalimbali ,Taarifa pamoja na kupata ujuzi wa mambo yanayohusu teknolojia.Pia utafahamu kuhusu Softwares ambazo zinatumika kwenye pc,android,ios,na utapata uchambuzi wa kina kabisa kuhusu matoleo mapya ya simu janja nk
Mwandishi
Mimi ni kijana mwenye passion na computing system kadhalika na softwares blog hii nimeitengeneza ili niweze kusaidia wana blog wenzangu pamoja na watu wote kiujumla ili waweze kupata ujuzi,mbinu na taarifa mbalimbali kuhusu Teknolojia,
gadgets,widgets,softwares,hardwares na adsense
No comments:
Post a Comment