JINSI YA KUFUTA CHANELI YA YOUTUBE - MotechBoy

MUBASHARA

Thursday, July 5, 2018

JINSI YA KUFUTA CHANELI YA YOUTUBE

                                           


Leo naenda kuwaonyesha Maujanja ya kufuta youtube chaneli yako.Kuna sababu nyingi ambazo zinamfanya mtu afute youtube chaneli yake ila kwa leo sitazungumzia hayo.Basi twende moja kwa moja kwenye topic yetu

ANGALIZO: Kuficha ama kufuta chaneli yako kunasababisha post, comments zote kufutika ila uzuri ni kwamba unaweza kuchangua kwani youtube wanakupa option mbili ambazo ni KUFUTA KABISA(Permanent Delete) ama KUFUTA kwa mda(Temporaly Delete )

FUATA NJIA ZIFUATAZO ILI UWEZE KUFUTA YOUTUBE CHANELI YAKO

1.Ingia (sign in) kwenye account yako ya youtube
2.Nenda kwenye sehemu iliyoandikwa "Advanced account setting"  unaweza kwenda kwenye advanced setting kwa kufuata hatua hizi
                      (a)Juu kulia bonyeza account > setting
                      (b)Chini ya account setting bonyeza >overview
                       (c)Chini ya jina la akaunti  bonyeza >Advanced

3.chini boyenza sehemu iliyoandikwa "delete channel" hapo wata kuomba uingize details zako za kuingia au sign in details
4.Bonyeza sehemu iliyoandikwa "I want to delete my channel"
5.Bonyeza kiboksi kilichoandikwa 'Delete Account"


Mpaka wakati mwingine tena kwani YAJAYO NI MAZURI ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Pages