JINSI YA KU-SCREEN SHOT KUTUMIA PC - MotechBoy

MUBASHARA

Tuesday, August 27, 2019

JINSI YA KU-SCREEN SHOT KUTUMIA PC

Tokeo la picha la screenshot on pc


Kama wewe ni mtumiaji wa pc ama kompyuta unaweza jiuliza ni kwa namna gani unaweza kuscreen shot picha ama kitu chochote kwenye pc,kama ndo hivyo hapa ndipo mahali sahihi.Fanya hatua zifuatazo.

  • Bonyeza kitufe cha fn+prt sc au alt+prt sc au window+prt sc
Pia unaweza kutumia snipping tool ambayo hii ni program ambayo inakuja na kifaa chako au pc,kama kompyuta yako haina hi programu unaweza kuidownload kupitia google.


No comments:

Post a Comment

Pages