IJUE SIMU AINA YA HOMTOM S9 PLUS SIMU YENYE UWEZO MKUBWA - MotechBoy

MUBASHARA

Tuesday, June 26, 2018

IJUE SIMU AINA YA HOMTOM S9 PLUS SIMU YENYE UWEZO MKUBWA

watu wengi hapa town wanapenda kuwa na vitu bora zaidi kuliko mtu mwingine hasa tukiangazia kwenye upande wa simu.Leo katika post yangu nawaletea simu mpya kabisa aina ya HOMTOM S9 PLUS yenye uwezo wa hali ya juu
simu hii ni kubwa na ina kidhi mahitaji ya mtu  na kwa wale wanaopenda simu kubwa basi jibu ni homtom s9 plus ina ukubwa wa inch 6.0

na ina kamera mbili ya mbele na nyuma yenye mega pixel 16 ambayo itakuwezesha kupiga picha zenye muonekano wa hd 



furahia uwezo wa homtom s9 plus kwa kudownload videos,miziki pamoja na picha kwan ina storage ya 64 gb pamoja na ram yenye uwezo wa 4 gb kwa wale wapendao kuweka app kubwa pamoja na kucheza magemu basi sulihisho ni homtom s9 plus
inatunza chanji kwa muda mrefu  pia processor yake ni kubwa kwa performance nzuri

Homtom s9 plus sifa kamili

Display: 5.99 inch /720p

 Aspect ratio: 18:9 full display

Processor: media tec MT6750 T octa core

GPU: ARM Mali T860 MP2@650 M 12

Storage: 4gb Ram 64 gb Rom  memory: 128 expendable memory 

Front camera: 13 MP 

System: Android 7.0 NOUGAT







                

3 comments:



  1. SAFI SANA MOTECH KWA KUTUPA TAARIFA KUHUSU SIMU NZURI HII PHONE SEMA UKWELI IKO POA SANA KEEP IT UP BRO!!

    ReplyDelete

  2. hawa homtom wamekuja na teknolojia ya double camera bac focus itakuwa nzuri sana

    ReplyDelete


  3. nimeipenda sana hii teknoljia ya double camera ,homtom wako vizuri

    ReplyDelete

Pages