JINSI YA KU-CROP NA KU-RESIZE PICHA KWA KUTUMIA PAINT WINDOW 7,8,9&10 - MotechBoy

MUBASHARA

Thursday, August 22, 2019

JINSI YA KU-CROP NA KU-RESIZE PICHA KWA KUTUMIA PAINT WINDOW 7,8,9&10



Leo nawaonesha namna ya ku-crop au kukata pamoja na ku-resize au kupungunza ama kuongeza ukubwa wa picha yako.Fata hatua hizi

      

1.Fungua paint 
   


















2.Nenda kwenye kibox cha rectangle kilicho andikwa select





3.Na uchague kati ya rectangular selection au free form selection

>Jinsi ya kuresize 

1.Bonyeza kibox kilichoandikwa resize kisha utaona sehemu imeandikwa horizontal na vertical,nenda sehemu iliyoandikwa pixel.

             


















2.Nenda sehemu iliyoandikwa ''maintain aspect ratio'' kisha utoe katiki.




















Kwa msaada zaidi angalia video hapo chini




No comments:

Post a Comment

Pages