JINSI YA KUUNGANISHA MTANDAO WAKO WA KIJAMII KWENYE YOUTUBE CHANELI YAKO - MotechBoy

MUBASHARA

Friday, July 6, 2018

JINSI YA KUUNGANISHA MTANDAO WAKO WA KIJAMII KWENYE YOUTUBE CHANELI YAKO




Karibu mpenzi msomaji wa blog ,leo nakuletea kitu kipya au mbinu ya kuunganisha youtube chaneli yako na mtandao wa kijamii MF Facebook, Twitter,Instagram, nk.

FUATA HATUA ZIFUATAZO

1.Ingia kwenye chaneli yako ya YOUTUBE    

2.Bonyeza sehemu iloyoandikwa CUSTOMIZE CHANNEL                                                                      












3.Bonyeza sehemu iliyoandikwa ABOUT   












4.Kisha shuka chini kabisa na ubonyeze sehemu iliyoandikwa LINK














5.Bonyeza sehemu iliyoandikwa ADD













6.Hapa andika mitandao ya kijamii au unaweza ukalink moja kwa moja kwa kuweka URL












Mpaka wakati mwingine tena kama una swali andika kwenye comment nitakusaidia

No comments:

Post a Comment

Pages