JINSI YA KUJIUNGA NA AMAZON (AFFILIATE PROGRAM) - MotechBoy

MUBASHARA

Friday, July 6, 2018

JINSI YA KUJIUNGA NA AMAZON (AFFILIATE PROGRAM)


Karibu katika blog yangu mpenzi msomaji wa makala.Leo nimekuja kitofauti kidogo kwani nataka kuzungumzia namna au jinsi mtu mwenye website au blog anaweza kupata fedha kwa kuwekeza katika makampuni ya online ambayo kazi kuu itakuwa ni kuingia mkataba na makampuni hayo nayo yataweka matangazo ya bidhaa wanazouza katika website au blog yako na wewe utajipatia pesa pindi tu mtu anapo bofya lile tangazo na kununua bidhaa katika lile kampuni na wewe utapata asilimia 10% mpaka 15% kwa manunuzi yaliyofanyika mtandaoni.Yapo makampuni mbali mbali ila kwa leo nitazungumzia kampuni la Amazon

FANYA YAFUATAYO ILI UWEZE KUUNGANISHWA NA AFFILIATE PROGRAM KUTOKA AMAZON

1.Ingia kwenye BLOGGER











                                                                                                                                                             





2.Fungua AMAZON.COM( AFFILIATE PROGRAM)


















3.Bonyeza sehemu iliyoandikwa JOIN NOW FOR FREE


















4.Jaza fomu kwa kuweka DETAILS zako zote



















5.Jaza jina la website au blog yako pamoja na WEBSITE au BLOG U                         


















6.Jaza maswali yote utakayoulizwa kwa usahihi


















7.ingia kwenye email yako sasa na uweze kaACTIVATE akaunti yako AMAZON na utasubiri mpaka pale Amazon watakapo kupa jibu kuwa ombi lako limekubaliwa kuwa katika AFFILIATE PROGRAM YA AMAZON


















8.Baada ya Amazon kujilidhisha na maombi yako sasa unaweza kuingia kwenye akaunti yako ya AMAZON AFFILIATE ili uweze kuchagua Ads zitazokuwa kwenye blog au website yako                                       


















9.Bofya kitufe kilichoandikwa HELP kwa msaada zaidi kuhusu maendeleo ya akaunti yako pamoja na mapato ya kila siku.Amazon watakulipa kwa mwezi kutegemeana na mapato yako yalivyo




















ASANTE KWA KUWA NAMI UKIPATA TATIZO USISITE KUNAMBIA KWA KUKOMENTI CHINI KABISA YA POSTI HII




No comments:

Post a Comment

Pages