SIFA ZA FLIPKART
(a) Fungua akaunti bure na uweze kupata kipato au pesa
(b) Wanamatangazo madogo yasiyochukua nafasi kubwa
(c) Pata TRAFFIC au watu wa kutosha wanaotembelea blog yako ili kipato chako kikue zaidi
(d) Wanatoa commission au faida kubwa za bidhaa zitazokuwa zimenunuliwa kupitia blog au website yako
HATUA ZA KUFUATA ILI UWE MIONGONI MWA WANAONUFAIKA NA KAMPUNI HII
1.Fungua akaunti ya FLIPKART AFFILIATE PROGRAM NA UJIUNGE au SIGN UP
2.Bonyeza sehemu iliyoandikwa AFFILIATE TOOLS>PRODUCT LINK&BANNERS alafu tafuta ama search kitu au bidhaa unayotaka ,bonyeza banner button
3.Tengeneza tangazo lako na ubofye ok
KAMA UNA SWALI ULIZA KWA KUKOMENTI HAPO CHINI
No comments:
Post a Comment