FAHAMU KUHUSU KIATU KINACHOTUMIA UMEME - MotechBoy

MUBASHARA

Monday, August 6, 2018

FAHAMU KUHUSU KIATU KINACHOTUMIA UMEME


                                                                                                                                                                                   




                  HIKI NDICHO KIATU KINACHOTUMIA TEKNOLOJIA YA UMEME






Kiatu hiki ni moja kati ya viatu vya kwanza Duniani kutengenezwa ambacho kina uwezo wa kukitumia kama chombo chako cha mawasiliano kwani kimetengenezwa kwa ustadi wa hali ya juu ambao unakupa wewe mvaaji wa kiatu hiki kujisikia mwepesi na kuwa comfortable kabisa.kimetengenezwa kwa kutumia hardware pamoja na software zinazokiwezesha kufanya kazi kwa ufanisi wa hali ya juu.



 
Pindi uvaapo kiatu hiki kina uwezo wa kurekodi umbali unaotembea kwa km,kina uwezo wa kubadilika kutokana na mazingira kwani kina uwezo wa kuuongeza joto pindi utakapo kuwa kwenye maeneo yenye baridi,kina uwezo wa kupunguza joto miguuni na kufanya joto kuwa la kawaida.

                                  SIFA ZA KIATU HIKI CHA UMEME

1.KINA MCHANGANUO WA AFYA.-yani kina pima uwezo wako wa kutembea, kina uwezo wa kubalance mwili wako

2.KINA UWEZO WA KUKITUMIA KUPITIA SIMU YAKO-yani kupitia bluetooth

3.KIMEUNDWA KWA NGOZI NGUMU MAALUM ISIYOWEZA KUCHAKAA









Kiatu hiki kina sehemu ya kuchaji yani unakichaji kwa kutumia chaji maalum,unauwezo wa kukifunga na kukifungua kwa kutumia simu yako ya mkononi(smartphone)
 

No comments:

Post a Comment

Pages