FAHAMU KUHUSU CHARGER YA SIMU ISIYOTUMIA WAYA - MotechBoy

MUBASHARA

Monday, August 6, 2018

FAHAMU KUHUSU CHARGER YA SIMU ISIYOTUMIA WAYA








Related image
Hii ni chaji maalum iliyotengenezwa ambayo inauwezo wa kuchaji simu pasipo kuonganisha waya wowote,pindi tu simu yako inapoishiwa moto kazi yako ni kuwasha chaji hii na kuweka simu yako juu ya hiki kifaa na simu yako itaanza kuingiza moto .

PIA Uunaweza ukachaji simu yako huku ukiwa unaitumia hata kama ukiwa mbali na chaji ila usipitilize range au umbali uliwowekwa.


No comments:

Post a Comment

Pages