FAHAMU KUHUSU KALAMU YENYE UWEZO WA KUREKODI VIDEO NA KUPIGA PICHA - MotechBoy

MUBASHARA

Monday, August 6, 2018

FAHAMU KUHUSU KALAMU YENYE UWEZO WA KUREKODI VIDEO NA KUPIGA PICHA







Related image

Hii ni kalamu iyotengenezwa kwa teknolojia ya hali ya juu,kwani ina uwezo wa kurekodi matukio mbali mbali ambayo yanatokea kila siku pasipo mtu mwingine kungundua.Kalamu hii inarekodi videos zenye uwezo mkubwa yan high quality video HD zenye kuanzia 720p mpaka full HD 1080p,pia kina kinasa sauti chenye uwezo wa kurekodi sauti.matumizi ya kalamu hii ni kwamba mtu anao uwezo wa kutumia kalamu hii kama chombo cha utafiti ama upelelezi hasa katika vyombo vya usalama kama polisi na jeshi,na kufanya kazi ya upelezi kuwa rahisi kabisa kwani matukio yote yanayoendelea yanakuwa yanahifadhiwa ndani ya kalamu.

Kalamu hii ina memory kadi ambayo unaweza kuichomeka na kusoma kwenye simu au kompyuta pamoja na USB ambayo inatumika kwa kuichajia kifaa hiki.


  Image result for video recording pens gifImage result for video recording pens gif

No comments:

Post a Comment

Pages