
Hii ni T SHIRT ambayo imetengenezwa kwa teknolojia ambayo hairuhusu uchafu wa aina yoyote kuichafua.Kwa wale watu ambao hawapendi kufua nguo mara kwa mara hii T SHIRT ni maalumu kwani inauwezo wa kustahimili kila aina ya uchafu na bado ikaonekana safi kabisa ingawa limeguswa na uchafu wa aina tofauti
No comments:
Post a Comment