FAHAMU KUHUSU MASHIRIKA YA USAFIRISHAJI - MotechBoy

MUBASHARA

Tuesday, August 27, 2019

FAHAMU KUHUSU MASHIRIKA YA USAFIRISHAJI

Tokeo la picha la hdl and fedex hd images
Katika eCommerce, kuna bidhaa na huduma za usafirishaji.Ambapo huduma ndo hizi tunazosema aina za usafirishaji ''shipment type"
Katika kununua mzigo nchi za mbali kuna njia mbili kuu za kutumia kusafirisha mzigo wako nazo ni Bahari (sea freight) na ndege (air freight).
Hili ni shirika la usafirishaji kutoka Marekani na ni shirika la usafirishaji  kwa haraka  "express" na lina huduma kwa njia zote za usafiri kwa maana ya bahari, anga na nchi kavu.
Faida
  • Wanasafirisha haraka (hasa kwa mizigo ya njia ya anga). Mzigo utakaotoka Marekani, utafika Dar es Salam ndani ya siku mbili tu.
  • Wana mfumo thabiti wa namna ya kufuatilia mwenendo wa safari ya mzigo wako "tracking system". Mfano unaweza kusajili namba yako ya simu kwenye mfumo wao kwa kutumia namba ya ufuatiliaji "tracking number" na utakuwa unapewa tarifa za safari ya mzigo wako kwa kila hatua utakayokuwa unaingia au kutoka hadi utakapoupokea.
  • Huduma yao ni kukuletea mzigo wako hadi mlangoni.
  • Watawasiliana na wewe aidha kwa barua pepe au simu pale watakapohitaji maelezo fulani kama hayapo, mfano jina au TIN number wakati wa clearing (shughuli ya kutoa mzigo uwanja wa ndege/bandarini).
  • Vifaa vyao vya kubebea ni imara, wanabeba kwa uangalifu katika safari na mzigo utakufikia bila kuharibiwa.
Changamoto
  • Wanatoza gharama kubwa kwa huduma zao.
  • Kama huna TIN number itakulazimu uipate toka TRA ili zoezi la ushuru (Clearing) uwanja wa ndege/bandari liendelee.
  • Hakuna mzigo utakaopitia kwao na ukaupokea mikono mitupu hata kama ni "educational materials"ambazo hazilipiwi ushuru.
  • Hawana matawi sehemu nyingi za Tanzania na hivyo utalazimika kulipa pesa zaidi kwa ajili ya kile wanachokiita "remote fee".
  • Hawasafirishi kwenye anuani za "P.o.Box".

FedEx
Hili ni shirika la Marekani na usafirishaji kwa haraka  "express" na lina huduma kwa njia zote za usafiri kwa maana ya bahari, anga na nchi kavu.Kilefu cha hili kampuni ni (Federal Express)
Faida
  • Wanasafirisha haraka (hasa kwa mizigo ya njia ya anga). Mzigo utakaotoka Marekani, utafika Dar es Salam ndani ya siku mbili tu.
  • Wana mfumo thabiti wa namna ya kufuatilia mwenendo wa safari ya mzigo wako "tracking system". Mfano unaweza kusajili namba yako ya simu kwenye mfumo wao kwa kutumia namba ya ufuatiliaji "tracking number" na utakuwa unapewa tarifa za safari ya mzigo wako kwa kila hatua utakayokuwa unaingia au kutoka hadi utakapoupokea.
  • Huduma yao ni kukuletea mzigo wako hadi mlangoni.
  • Watawasiliana na wewe aidha kwa barua pepe au simu pale watakapohitaji maelezo fulani kama hayapo, mfano jina au TIN number wakati wa clearing (shughuli ya kutoa mzigo uwanja wa ndege/bandarini).
  • Vifaa vyao vya kubebea ni imara, wanabeba kwa uangalifu katika safari na mzigo utakufikia bila kuharibiwa.
Changamoto
  • Wanatoza gharama kubwa kwa huduma zao.
  • Kama huna TIN number itakulazimu uipate toka TRA ili zoezi la ushuru (Clearing) uwanja wa ndege/bandari liendelee.
  • Hakuna mzigo utakaopitia kwao na ukaupokea mikono mitupu hata kama ni "educational materials"ambazo hazilipiwi ushuru.
  • Hawana matawi sehemu nyingi za Tanzania na hivyo utalazimika kulipa pesa zaidi kwa ajili ya kile wanachokiita "remote fee".
  • Hawasafirishi kwenye anuani za "P.o.Box".
Ni shirika la posta la Marekani ambalo kirefu chake ni (United States Posta Service) . Ni mdau mkubwa wa usafirishaji katika soko la ebay na amazon. Lina aina kadhaa za huduma ambazo ni za kawaida, kati na haraka.
Faida
  • Hawana gharama kubwa.
  • Wanatoa namba za ufuatiliaji "tracking numbers" kwa aina yoyote ya huduma.
  • Wanamuunganiko na mashirika mengine ya posta ulimwenguni likiwemo la Tanzania hivyo mzigo wako utaletwa na kukufikia kwa anuani yako ya posta (P.o.Box).
  • Vifaa vyao vya kubebea "package" ni nzuri na imara.
Changamoto
  • Hawasafirishi kwa haraka kama ilivyo DHL hata kama utachagua huduma ya haraka.
  • Pamoja na kutoa namba za ufuatiliaji lakini bado mzigo unaweza kupotea bila kujulikana upo wapi (hupotea kabla ya kufika Tanzania). Au taarifa za ufuatiliaji kwenye tovuti yao zikaishia kuonyesha safari ya mzigo nchini Marekani, baada ya hapo taarifa hamna lakini mwisho wa siku mzigo unakufikia bila taarifa. Hapo unaweza kupokea mzigo wako na ukadai haujafika na ukarudishiwa hela zako.
China PostHongKong post/Singapore Post
Faida
  • Hawana gharama kubwa.
  • Wanasafirisha kwenye anwani za "P.o. Box".
Changamoto
  • Hawana huduma ya haraka na mara nyingi huchelewesha sana kusafirisha mzigo wako.
  • Vifaa vya kubebea sio vizuri na imara.
  • Wanatoa namba za ufuatiliaji ila zinachukua mda mrefu kuanza kuonekana kwenye mtandao.
  • Kwa Singapore Post, hawasafirishi moja kwa moja hadi Tanzania, ni lazima watue Kenya na kuuacha hapo mzigo wako hadi utumwe tena na Posta ya Kenya. Hii husababisha ucheleweshaji zaidi.
  • Kwa ujumla wa mashirika yote haya matatu (China, HongKong na Singapore Post) ni wacheleweshaji kwani mzigo ukiwahi sana basi ni wiki nne na wakati mwingine wiki nane. 
UPS
Ni shirika la posta la Marekani ambalo kirefu chake ni (United Posta Service). Ni mdau mkubwa wa usafirishaji katika soko la ebay na amazon. Lina aina kadhaa za huduma ambazo ni za kawaida, kati na haraka.
Faida
  • Hawana gharama kubwa.
  • Wanatoa namba za ufuatiliaji "tracking numbers" kwa aina yoyote ya huduma.
  • Wanamuunganiko na mashirika mengine ya posta ulimwenguni likiwemo la Tanzania hivyo mzigo wako utaletwa na kukufikia kwa anuani yako ya posta (P.o.Box).
  • Vifaa vyao vya kubebea "package" ni nzuri na imara.
Changamoto
  • Hawasafirishi kwa haraka kama ilivyo DHL hata kama utachagua huduma ya haraka.
  • Pamoja na kutoa namba za ufuatiliaji lakini bado mzigo unaweza kupotea bila kujulikana upo wapi (hupotea kabla ya kufika Tanzania). Au taarifa za ufuatiliaji kwenye tovuti yao zikaishia kuonyesha safari ya mzigo nchini Marekani, baada ya hapo taarifa hamna lakini mwisho wa siku mzigo unakufikia bila taarifa. Hapo unaweza kupokea mzigo wako na ukadai haujafika na ukarudishiwa hela za

3 comments:

  1. Kupokea simu na laptop kutoka marekani itanigharimu sh ngapi? Naomba unisaidie hapo kaka

    ReplyDelete
  2. Kupokea laptop sim na camera kutoka senegar itanigharim kias Gan na KIA nifanyenn ili nisiupoteze kwa sabab mtumaji nime mtumia p.o. box ya mjinilipo sumbawanga

    ReplyDelete
  3. Je kuna kampuni ya usafirishaji inaitwa cargo Exel

    ReplyDelete

Pages