KWA NINI TOYOTA NI MAARUFU DUNIANI - MotechBoy

MUBASHARA

Monday, September 23, 2019

KWA NINI TOYOTA NI MAARUFU DUNIANI





1.GHARAMA NAFUU
Toyota zinaongoza kuwa na gharama isioumiza haswa kwa magari used kutoka Japan
2.HAZITUMII MAFUTA MENGI
Magari madogo ya Toyota yanajulikana kwa kutotumia mafuta mengi. Hata magari yao makubwa mengine hayatumii mafuta mengi kukizilinganisha na magari makubwa ya makampuni mengine.
3.UPATIKANAJI WA SPEA
Kwa kuwa Toyota ni maarufu sana, spea zake zinapatikana kiurahisi zaidi na SPEA zake hazina gharama Sana.
4.ZINA MAFUNDI WENGI
Toyota ni maarufu sana na inaongoza kuwa na mafundi wengi wenye ujuzi.
5.KILA MTU ANAPATA AINA YA GARI ANALOHITAJI
Toyota ina aina nyingi za magari zinazokidhi mahitaji ya watu mbalimbali.

1 comment:


  1. Join dan bergabung di agen terpercaya indonesia,
    yang mmeberikan pengalaman bermain lebih menyenangkan,
    deposit dan withdraw tunggu apa lagi :)

    Agen Slot Online

    Agen Tembak Ikan

    ReplyDelete

Pages